• WAZIRI VB ATEMBELEA NGAKA

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda akitazama machimbo ya makaa ya mawe katika eneo la Ngaka Mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake Januari, 2013.

 • WAZIRI VB ATEMBELEA NGAKA

  Mgodi wa Makaa ya Mawe,Kijiji ch Ntunduaro eneo la Ngaka Mkoani Ruvuma.

 • WAZIRI VB ATEMBELEA NGAKA

  Mashine za kupanga madaraja ya Makaa ya mawe kulingana na ukuwa wake.

 • WAZIRI VB ATEMBELEA NGAKA

  Magari maalumu yenye mashine za uchimbaji katika mgodi wa makaa ya mawe, Ngaka Mkoani Ruvuma.

 • WAZIRI VB ATEMBELEA NGAKA

  Kifusi cha Makaa ya mawe baada ya kupangwa katika madaraja.

 • WAZIRI VB ATEMBELEA MANG'ULA

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda akioneshwa jinsi ya kuvuna mpira katika shamba. Mpira unaozalishwa hapa itatumika katika kiwanda cha Genmeral Tyre na viwanda vingine vya Plastiki.

 • WAZIRI VB ATEMBELEA MANG'ULA

  Shamba mojawapo lenye miti ya mpira linalozalisha malighafi za Viwandani.

 • BODI MPYA SIDO

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Dkt Abdallah Kigoda amezindua bodi mpya ya Shirika la SIDO

 • BODI MPYA SIDO

  Waziri VB Mhe. Dkt Abdallah Kigoda akihutubia Bodi mpya ya Shirika la SIDO Desemba 22, 2014

 • BODI MPYA SIDO

  Waziri VB Mhe. Dkt Abdallah Kigoda( Katikati), Naibu Waziri VB Mhe. Janet Mbene( Kushoto kwa Waziri) wakiwa katika picha ya Pamoja na Bodi mpya ya SIDO na Wafanyakazi wa Shirika hilo. Desemba 22,2014.

 • KIWANDA CHA VIUADUDU KIBAHA

  Naibu Waziri VB Mhe. Janet Mbene atembelea Kiwanda cha Viuuadudu Kibaha, Desemba 15, 2014

 • KIWANDA CHA NONDO KIBAHA

  Naibu Waziri VB Mhe. Janet Mbene atembelea Kiwanda cha Nondo, Desemba 15, 2014. Hapa akipewa taarifa na Msemaji wa Kiwanda

 • KIWANDA CHA NONDO KIBAHA

  Naibu Waziri VB Mhe. Janet Mbene atembelea Kiwanda cha Nondo, Desemba 15, 2014

 • KIWANDA CHA NONDO KIBAHA

  Bidhaa bora za Chuma kutoka Kiwanda cha Nondo KIBAHA

 • KUKABILI MAJANGA

  Timu ya Wizara VB yakutana KIBAHA kuandaa muongozo wa Kukabiliana na majanga katika Teknolojia ya Habnari na Mawasiliano.

 • KUKABILI MAJANGA

  Timu ya Wizara VB yakutana KIBAHA kuandaa muongozo wa Kukabiliana na majanga katika Teknolojia ya Habnari na Mawasiliano. Kikao cha kazi kikiendelea, Desemba 18, 2014.

 • MASOKO YETU

  Bidhaa bora za matunda na mboga mboga katika masoko yetu.

 • UJASIRIAMALI.

  Kilimo cha Alizeti Mkoani Singida kimeleta mapinduzi makubwa ya ki uchumi kwa Mkoa huo na Kanda ya kati kwa ujumla. Hizi ni mbegu za Alizeti kastika Kikundi cha Mwenge Sunflower Oil Mills.

 • KIWANDA CHA MAFUTA CHA JIELONG

  Jengo la Kiwanda cha Mafuta ya Pamba na Alizeti cha JIELONG HOLDINGS T. LTD cha Mkoani Shinyanga.

 • KIWANDA CHA MAFUTA CHA JIELONG

  Bidhaa za Mafuta ya Pamba zinazozalishwa na Kiwanda cha JIELONG Mkoani Shinyanga. Kiwanda hiki kimeajiri Vijana 500.

 • KIWANDA CHA MAFUTA CHA JIELONG

  Marobota ya Pamba baada ya kuchambuliwa katika Kiwanda cha JIELONG Mkoani Shinyanga.

 • KIWANDA CHA MAJI

  Mashine za Kisasa za kusafisha maji ya Chupa katika Kiwanda cha Jambo Mkoani Shinyanga

 • KIWANDA CHA MAJI

  Maji safi ya Kunywa katika Kiwanda cha Jambo Mkoani Shinyanga. Kiwanda hiki kimeajiri watu 600 na kutoa mchango Mkubwa katika Pato la Mkoa huo.

 • UJASIRIAMALI.

  Shughuli za Ufugaji unaofanywa na vikundi vya Vijana na Wanawake Mkoani Singida. Faida za ufugaji nyuki zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la ajira na kuwapa wahusika kipato cha uhakika kumudu maisha yao. Picha na MIT GCU Team

 • UJASIRIAMALI

  Shughuli za Ufugaji unaofanywa na vikundi vya Vijana na Wanawake Mkoani Singida. Faida za ufugaji nyuki zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la ajira na kuwapa wahusika kipato cha uhakika kumudu maisha yao. Picha na MIT GCU Team

 • ASALI

  Faida ya Ufugaji nyuki ni pamoja na kupata asali na nta. Asali iliyosindikwa na kufungashwa vizuri huongeza bei maradufu na kuongeza kipato kwa Wafugaji.

 • SEKYA YA NGOZI

  Sekta ya Ngozi inaendelea kufanya vizuri kwa kuongeza thamani kabla ya mauzo. Hizi ni Mashine za Kuchakata Ngozi katika Kiwanda cha XING HUA INVESTMENT Mkoani Shinyanga

 • SEKTA YA NGOZI

  Ngozi ghafi zilizokusanywa kutoka kwa wafugaji zikiwa Kiwandani tayari kuanza mchakato wa uongezaji thamani.

 • KIWANDA CHA URAFIKI

  Bidhaa za Nguo na Vitambaa bora vinavyozalishwa na Kiwanda cha Nguo cha Urafiki

 • SEKYA YA NGUO

  Kiwanda cha Nguo kilichopo katika Eneo la EPZ, Mabibo Dar Es Salaam.

 • BIDHAA ZETU

  Sukari inayozalishwa na Kiwanda cha TPC Moshi

 • BIDHAA ZETU

  Sukari inayozalishwa na Kiwanda cha TPC Moshi

 • CHOKAA

  Chokaa Bora inayozalishwa na Kiwanda cha Kneelkanth cha Mkoani Tanga

 • GENERETA ZA TANALEK

  Eneo la Uzalishaji wa Genereta katika Kiwanda cha TANELEK kilichopo Arusha

 • MATREKTA YA CAMARTEC

  Baadhi ya Matrekta yalizalishwa na Kituo cha Zana za kilimo na Maendeleo Vijijini Camartec kilicho chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

 • SARUJI

  Ujenzi wa Kiwanda Kipya cha Saruji cha RHINo unaoendelea Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani

 • CHUMA-LIGANGA

  Chuma cha Liganga kama kinavyoonekana juu ya uso wa nchi. Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Shirika la NDC inatekeleza mradi wa kutumia rasilimali hii muhimu.

 • MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

 • WADAU WA MAWASILIANO WAKUTANA

  Timu ya Wataalamu iliyokutana chini ya Uratibu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali GCU cha Wizara ya Viwanda na Biashara, kujadili namna bora ya kutangaza taarifa za Utekelezaji wa miradi na shughuli za Wizara

 • CBE KAMPASI YA MBEYA YAZINDULIWA

  Mgeni Katibu Mkuu wa VB Bw Uledi Mussa akikata utepe

 • CBE KAMPASI YA MBEYA YAZINDULIWA

  Jiwe la Msingi

 • SIKU YA VIWANDA AFRIKA 2014

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda kulia akilakiwa kuingia katika ukumbi wa Mkutano kuadhimisha siku ya Viwanda Afrika Novemba 20, 2014

 • SIKU YA VIWANDA AFRIKA 2014

  Wafanyanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake, Wenye Viwanda, Wajasiriamali na Wananchi kwa ujumla wakifuatilia maadhimisho ya siku ya Viwanda Afrika, Novemba 20, 2014

 • SIKU YA VIWANDA AFRIKA 2014

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Uledi Mussa akiongea na Vyombo vya Habari kuwakaribisha Watanzania katika Siku ya viwanda Afrika 2014

 • SIKU YA VIWANDA AFRIKA 2014

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Uledi Mussa( Katikati)Mwakilishi wa Shirila la UNIDo Bw Victor Akim( Kulia) na Mwakilishi wa CTI Bw Hussein Kamote( Kushoto) wakiongea na Umma kuhusu siku ya Viwanda Afrika

 • MAHAFALI CBE

 • MAHAFALI CBE

 • MAHAFALI CBE 2014

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda akiwasili katika mahali ya Chuo cha Elimu ya Biashara CBE Jumamosi Novemba 15, 2014.

 • MAHAFALI CBE 2014

  Meza kuu wakati wa Mahafali ya CBE 2014

 • MAHAFALI CBE 2014

  Meza kuu wakati wa Mahafali ya CBE 2014

 • MAHAFALI CBE 2014

  Mahafali ya CBE. Wahitimu.

 • MAHAFALI CBE 2014

  Mahafali ya CBE. Wahitimu.

 • WIZARA VB YASHIRIKI MKUTANO US AFRICA

  Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Watanzania waishio Washington DC wakati wa mkutano wa US Africa Agosti, 2014.

 • WIZARA VB YASHIRIKI MKUTANO US AFRICA

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda( Wanne kutoka Kulia) akishiriki Mkutano wa Rais na Watanzania uliofanyika Washington Marekani Agosti, 2014

 • UKAGUZI KLABU ZA USIKU

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akiongoza ujumbe wa Maafisa wa Wizara na Jeshi la Polisi kufanya ukaguzi katika Klabu za usiku jijini Dar Es Salaam ili kuona utekelezaji wa sheria zinazosimamia biashara hiyo.

 • UKAGUZI KLABU ZA USIKU

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akiongoza ujumbe wa Maafisa wa Wizara na Jeshi la Polisi kufanya ukaguzi katika Klabu za usiku jijini Dar Es Salaam ili kuona utekelezaji wa sheria zinazosimamia biashara hiyo.

 • UKAGUZI KLABU ZA USIKU

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akiongoza ujumbe wa Maafisa wa Wizara na Jeshi la Polisi kufanya ukaguzi katika Klabu za usiku jijini Dar Es Salaam ili kuona utekelezaji wa sheria zinazosimamia biashara hiyo.

 • UKAGUZI KLABU ZA USIKU

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akiongoza ujumbe wa Maafisa wa Wizara na Jeshi la Polisi kufanya ukaguzi katika Klabu za usiku jijini Dar Es Salaam ili kuona utekelezaji wa sheria zinazosimamia biashara hiyo. Hapa akitoa Elimu kwa Wateja kuhusu umuhimu wa kufuata sheria,kanunui na taratibu.

 • UKAGUZI KLABU ZA USIKU

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akiongoza ujumbe wa Maafisa wa Wizara na Jeshi la Polisi kufanya ukaguzi katika Klabu za usiku jijini Dar Es Salaam ili kuona utekelezaji wa sheria zinazosimamia biashara hiyo. Hapa akifanya hitimisho la ziara hiyo kwa kuongea na Vyombo vya Habari.

 • SABA SABA 2014

  Timu ya Wizara ya Viwanda na Biashara iliyoshiriki katika Maonmesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam 2014

 • TENGA MKURUGENZI CTI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Abdallah Kigoda(Katikati)Mwenyekiti wa CTI Bw Nyantahe( Kushoto)na Mkurugenzi mpya wa CTI Bw Leodgar Tenga aliefika Wizarani kujitambulisha.

 • TENGA MKURUGENZI CTI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Abdallah Kigoda(Kulia) Watumishi waandamizi wa Wizara na Ugeni kutoka CTI siku Mkurugenzi mpya wa CTI Bw Leodgar Tenga alipofika Wizarani kujitambulisha.

 • TENGA MKURUGENZI CTI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Abdallah Kigoda(Kulia) Watumishi waandamizi wa Wizara na Ugeni kutoka CTI siku Mkurugenzi mpya wa CTI Bw Leodgar Tenga alipofika Wizarani kujitambulisha.

 • SABA SABA 2014

 • SABA SABA 2014

  Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara katika Banda la Maonesho

 • SABA SABA 2014

  Timu ya Wizara ya Viwanda na Biashara iliyoshiriki katika Maonmesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam 2014

 • SABA SABA 2014

  Viongozi wa Wizara walipotembelea Banda la BRELA

 • SABA SABA 2014

  Afisa Uhusiano TBS Bi Roida Andusamile akitoa Elimu kwa Umma

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba. Hapa akifurahia jambo na Waziri VB Dkt Abdallah Kigoda( Kushoto) na Mkurugenzi TanTrade Bi Jacline Maleko( Kulia).

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba

 • SABA SABA 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho wakati wa Saba saba. Hapa akitazama Bustani za JKT

 • MAFUNZO EIF TIER 1

  Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw Obadia Nyagilo akifungua mafunzo ya Monitoring & Evaluation yanayotolewa na Waataalam kutoka Geneva kwa MIT Bara, Zanzibar na Wadau mjini Bagamoyo.

 • MAFUNZO EIF TIER 1

  Wawezeshaji Simon( Wa kwanza) na James ( Wa Pili) na washiriki wa mafunzo ya Monitoring & Evaluation yanayotolewa na Waataalam kutoka Geneva kwa MIT Bara, Zanzibar na Wadau mjini Bagamoyo.

 • MAFUNZO EIF TIER 1

  Picha ya Pamoja ya Washiriki wa mafunzo ya Monitoring & Evaluation yanayotolewa na Waataalam kutoka Geneva kwa MIT Bara, Zanzibar na Wadau mjini Bagamoyo.

 • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2014

  Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Mhe. George Mkuchika akifungua rasmi maonesho ya mwaka huu..

 • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2014

  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi Mary Mwangisha(Kulia)na Afisa Tawala Bi Debora Mofati(Kushoto)wakiwa katika Banda la Wizara kutoa huduma.

 • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2014

  Wananchi wakihudumiwa katika Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

 • MAFUNZO KWA VIONGOZI MIT

  Mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu WVB Bi Maria Bilia akifungua mafunzo.

 • MAFUNZO KWA VIONGOZI MIT

  Washiriki wa Mafunzo

 • MAFUNZO KWA VIONGOZI MIT

  Washiriki wa Mafunzo.

 • MAFUNZO KWA VIONGOZI MIT

  Picha ya Pamoja ya Washiriki na Mgeni rasmi.

 • MAFUNZO KWA VIONGOZI MIT

  Washiriki.

 • MAFUNZO KWA VIONGOZI MIT

  Washiriki

 • MKUTANO NA WAMILIKI KLABU ZA USIKU

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janeth Mbene akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya Mkutano wake na Wamiliki wa Klabu za Usiku jijini Dsm uliolenga kuweka namna bora ya uendeshaji shughuli hizo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu husika.

 • MKUTANO NA WAMILIKI KLABU ZA USIKU

  Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara waliohudhuria Mkutano wa Wizara na Wamiliki wa Klabu za Usiku jijini Dsm uliolenga kuweka namna bora ya uendeshaji shughuli hizo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu husika.

 • MKUTANO NA WAMILIKI KLABU ZA USIKU

  Baadhi ya Wafanyabiashara ya Klabu za Usiku jijini Dsm waliohudhuria mkutano kati yao na Wizara ya Viwanda na Biashara uliolenga kuweka namna bora ya uendeshaji shughuli hizo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu husika.

 • MKUTANO NA WAMILIKI KLABU ZA USIKU

  Washiriki wa Mkutano wa Wizara na Wafanyabiashara ya Klabu za Usiku jijini Dsm wakiwa katika chumba cha mkutano kujadili namna bora ya uendeshaji shughuli hizo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu husika.

 • BAJETI 2014/2015

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda akisoma Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • BAJETI 2014/15

  Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda( Kushoto) akishauriana jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara Mei 20, 2014

 • BAJETI 2014/2015

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake wakiwa Bungeni Dodoma

 • BAJETI 2014/2015

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda akijibu hoja za Wabunge wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • BAJETI 2014/15

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janeth Mbene Kigoda akijibu hoja za Wabunge wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • KIWANDA CHA VIUADUDU KIBAHA

  Naibu Waziri VB Mhe. Janet Mbene atembelea Kiwanda cha Viuuadudu Kibaha, Desemba 15, 2014

 • BAJETI 2014/2015

  Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika akihoji kuhusu ufanisi wa Sekta ya Viwanda wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • BAJETI 2014/2015

  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akijibu hoja za WVB zinazohusu TAMISEMI wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • BAJETI 2014/2015

  Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akijibu hoja za WVB zinazohusu NISHATI NA MADINI wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • BAJETI 2014/2015

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Uwezeshjaji Mhe. Dkt. Mary Nagu akijibu hoja za WVB zinazohusu UWEKEZAJI wakati wa Mawasilisho ya Hotuba ya Wizara yake Bungeni Mei 20, 2014.

 • BAJETI 2014/15

 • PONGEZI KWA BAJETI 2014/2015

  Hongera Mhe. Waziri, Viongozi na Watumishi wote wa Wizara ya Viwanda na Biashara.

 • PONGEZI KWA BAJETI 2014/2015

  Hongera Mhe. Waziri, Viongozi na Watumishi wote wa Wizara ya Viwanda na Biashara.

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, kwa niaba yaya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda, akifungua Kongamano la uwezeshaji biashara baada ya mkutano mkuu wa Bali kwa nchi changa linalofanyika Mkoani Mwanza, Mei 16 hadi 16, 2014.

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

  Meza kuu katika Kongamano hilo.

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

  Washiriki wa Kongamano wakifuatilia Mawasilisho ya Mada mbali mbali.

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

  Washiriki wakifuatilia mada zinazotolewa kwa Makini.

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

  Viongozi Wakuu katika Kongamano hilo, Kuanzia kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Bw Lucas Saronga, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, Profesa Francis Matambalya , Balozi Mstaafu Ali Mchumo na Balozi wa Tanzania- Umoja wa Matafaifa Bw Modest Mero.

 • KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA

  Picha ya Pamoja ya Wajumbe na Viongozi wakuu wa Kongamano la uwezeshaji biashara baada ya mkutano mkuu wa Bali kwa nchi changa linalofanyika Mkoani Mwanza, Mei 16 hadi 16, 2014.

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Uledi Mussa na Naibu wake Bi Maria Billia(Kushoto) wakifuatilia kwa Makini Mawasilisho ya Randama ya Wizara yao bmele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara mjini Bagamoyo, Jumamosi Mei 03, 2014.

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia Mawasilisho ya Randama ya Wizara ya Viwanda na Biashara 2014/15 mjini Bagamoyo, Jumamosi Mei 03, 2014.

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Wabunge na Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake wakibadilishana Mawazo katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • RANDAMA NA BAJETI 2014/15

  Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake katika Mawasilisho ya Randama ya Wizara VB kwa mwaka wa fedha 2014/15

 • MEI MOSI 2014

  Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi.

 • MEI MOSI 2014

  Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi.

 • MEI MOSI 2014

  Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi.

 • MEI MOSI 2014

  Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA E.P.Z.A

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene,Alhamisi Aprili 17, 2014 ametembelea Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji E.P.Z.A ili kufahamu shughuli za Mamlaka hiyo.Hapa akizungumza na Wafanyakazi wa E.P.Z.A

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA E.P.Z.A

  Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Dkt Adelhelm Meru akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene ambaye Alhamisi Aprili 17, 2014 ametembelea Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji E.P.Z.A ili kufahamu shughuli za Mamlaka hiyo.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA E.P.Z.A

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene(Kushoto),Alhamisi Aprili 17, 2014 ametembelea Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji E.P.Z.A ili kufahamu shughuli za Mamlaka hiyo.Hapa akipokea zawadi kutoka Meneja wa Promosheni wa Mamlaka hiyo Bi Grace Lemunge

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA E.P.Z.A

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene(Katikati mwenye Mtandio),Alhamisi Aprili 17, 2014 ametembelea Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji E.P.Z.A. Hapa akitazama aina mbali mbali za Tshirt zinazotengenezwa katika Kiwanda cha TOOK GARMENT kilichopo katika Eneo hilo.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA E.P.Z.A

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene(Katikati mwenye Mtandio),Alhamisi Aprili 17,2014 ametembelea Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji E.P.Z.A. Hapa akitazama aina mbali mbali za nguo zinazotengenezwa katika Kiwanda cha TOOK GARMENT kilichopo katika Eneo hilo.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA E.P.Z.A

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene(Kulia)akikagua maeneo mbali mbali ndani ya Makao Makuu ya Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji E.P.Z.A.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA F.C.C

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene(Katikati,Jumanne Aprili 15, 2014 ametembelea Taasisi ya Tume ya Ushindani F.C.C ili kujua Maendeleo ya Taasisi hiyo katika Utekelezakji wake wa majukumu ya kila siku. Hapa akitazama bidhaa hafifu zilizokamatwa madukani Jijini Dar Es Salaam. Anayetoa maelezo ni Mkuu wa idara ya udhibiti bidhaa bandia Bw. John Mponela.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA F.C.C

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene(Katikati)Jumanne Aprili 15, 2014 ametembelea Taasisi ya Tume ya Ushindani F.C.C.Hapa akitazama bidhaa hafifu na namna ya kuzitambua.Anayetoa maelezo ni Mkuu wa idara ya udhibiti bidhaa bandia Bw. John Mponela.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA T.B.S

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene,Jumanne Aprili 15, 2014, Ametembelea Shirika la Viwango nchini TBS.Hapa akipata taarifa kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bibi Agnes Mneney (Kulia). Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TBS Prof. Cuthbert Mhilu.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA T.B.S

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Jumanne Aprili 15, 2014, Ametembelea Shirika la Viwango nchini TBS ili kujua Maendeleo ya Shirika hilo katika utekelezaji wa majukumu yake. Hapa akipata maelezo ya kuhusu maabara ya kupima ubora wa chakula kutoka kwa Mtaalamu wa maabara hiyo Bi Stella Mrosso.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA T.B.S

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Jumanne Aprili 15, 2014, Ametembelea Shirika la Viwango nchini TBS ili kujua Maendeleo ya Shirika hilo katika utekelezaji wa majukumu yake. Hapa akipata maelezo ya kuhusu maabara ya kupima ubora wa chakula kutoka kwa Mtaalamu wa maabara hiyo Bi Stella Mrosso.

 • NAIBU WAZIRI ATEMBELEA T.B.S

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Janeth Mbene( Katikati waliokaa)akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Viwango Tanzania T.B.S mara baada ya ziara yake katika Shirika hilo Aprili 15, 2014. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bibi Agnes Mneney na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TBS Prof. Cuthbert Mhilu.

 • MKUTANO NGOZI 2014

  Wadau wa sekta ndogo ya Ngozi wamekutana Wizarani kwa lengo la kupeana taarifa kuhusu hali ya sekta hiyo, mafanikio, fursa na changamoto zilizopo ili kupanga mikakati ya kuboresha sekta hiyo. Mkutano huo umeongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Viwanda Mhandisi Deo Ndunguru.

 • MKUTANO NGOZI 2014

  Baadhi ys Wadau wa Sekta ndogo ya Ngozi Waliokutana Wizarani kwa lengo la kupeana taarifa kuhusu hali ya sekta hiyo, mafanikio, fursa na changamoto zilizopo ili kupanga mikakati ya kuboresha sekta hiyo.

 • MKUTANO NGOZI 2014

  Baadhi ya Wadau wa sekta ndogo ya Ngozi waliokutana Wizarani kwa lengo la kupeana taarifa kuhusu hali ya sekta hiyo, mafanikio, fursa na changamoto zilizopo ili kupanga mikakati ya kuboresha sekta hiyo.

 • MRADI WA SECO WAZINDULIWA

  Katibu Mtendaji wa UNCTAD Dkt Mukhisa Kituyi(Kushoto)Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara WVB Bw Lucas Saronga( Katikati) na Balozi wa Uswizi nchini Tz Bw Olivier Chave( Kulia) wakisaini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa SECO mjini ARUSHA

 • MRADI WA SECO WAZINDULIWA

  Baadhi ya Washiriki wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa SECO uliofanyika Arusha

 • MRADI WA SECO WAZINDULIWA

  Baadhi ya Washiriki wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa SECO uliofanyika Arusha

 • MRADI WA SECO

  Mkurugenzi wa Sera na Mipango WVB Bw Edward Sungula akitoa ufafanuzi wa Mradi wa SECO kwa wajumbe

 • MRADI WA SECO

  Katibu Mtendaji wa UNCTAD Dkt Mukhisa Kituyi akitoa salamu za Umoja wa Mataifa katika uzinduzi wa Mradi wa SECO

 • MRADI WA SECO WAZINDULIWA

  Wawakilishi wa Serikali ya Tanzania, Umoja wa Mataifa na Wafadhili waliofadhili Mradi wa SECO wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya Uzinduzi

 • MRADI WA SECO WAZINDULIWA

  Wawakilishi wa Serikali ya Tanzania, Umoja wa Mataifa na Wafadhili waliofadhili Mradi wa SECO wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya Uzinduzi

 • WVB YATEMBELEA TAHA

  Mkurugenzi Mtendaji wa TAHA Bi Jacline Mkindi akitoa maelezo kwa wajumbe kutoka WIzara ya Viwanda na Biashara Bara, Wizara na Biashara na Viwanda Zanzibar na Wizara ya Kilimo waliotembelea taasisi hiyo.

 • WVB YATEMBELEA TAHA

  Wajumbe kutoka WIzara ya Viwanda na Biashara Bara, Wizara na Biashara na Viwanda Zanzibar na Wizara ya Kilimo waliotembelea taasisi ya TAHA wakifuatilia maelezo ya Utendaji wa taasisi hiyo.

 • WVB YATEMBELEA TAHA

  Mkurugenzi Mtendaji wa TAHA Bi Jacline Mkindi akitoa maelezo kwa wajumbe kutoka WIzara ya Viwanda na Biashara Bara, Wizara na Biashara na Viwanda Zanzibar na Wizara ya Kilimo waliotembelea taasisi hiyo.

 • WVB YATEMBELEA TAHA

  Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Edward Sungula akielezea jinsi Wizara yake ilivyoridhishwa na kazi za TAHa zilizofadhiliwa na Mradi wa EDF 10

 • BARAZA LA WAFANYAKAZI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara yake unaofanyika Jijini Dsm.

 • BARAZA LA WAFANYAKAZI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda( Katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw Uledi Mussa( Kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Maria Bilia (Kulia), wakifuatilia mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo unaofanyika Jijini Dsm.

 • BARAZA LA WAFANYAKAZI

  Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara ambao ni wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wanaoshiriki mkutano wao Jijini Dsm

 • BARAZA LA WAFANYAKAZI 2014

  Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara ambao ni wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wanaoshiriki mkutano wao Jijini Dsm wakiimba Wimbo wa Solidarity Forever

 • BARAZA LA WAFANYAKAZI 2014

  Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara ambao ni wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakiwa katika Picha ya Pamoja na Waziri wa Wizara hiyo Dkt Abdallah Kigoda na Viongozi wengine wakuu.

 • TIER 1 ZANZIBAR

  Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Tanzania Bw Edward Sungula( Kaunda Nyeusi) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw Julian Raphael, vifaa mbali mbali vya utekelezaji wa mradi wa TIER 1 mjini Zanzibar.

 • TIER 1 ZANZIBAR

  Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Tanzania Bw Edward Sungula( Kaunda Nyeusi) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw Julian Raphael, funguo za gari litakalotumika katika utekelezaji wa mradi wa TIER 1 mjini Zanzibar.

 • TIER 1 ZANZIBAR

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw Julian Raphael akijaribu kuendesha gari jipya lililokabidhiwa kwa mradi wa TIER 1 ofisi ya Zanzibar. Gari na vifaa mbali mbali vya mradi huo vimetolewa na UNDP.

 • TUZO C.T.I 2014

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Washindi mbali mbali wa Tuzo za Wazalishaji bora wa Mwaka zilizoandaliwa na CTI

 • SENSA YA VIWANDA

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Janeth Mbene katika picha ya pamoja na Washiriki wa Sensa ya Viwanda, Morogoro.

 • WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdalaah Kigoda akiwa na wageni wake, Wawekezaji kutoka Ujerumani wenye nia kuwekeza katika Sekta ya Mbolea.

 • UTARATIBU MPYA WA LESENI

  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji wa Biashara na Masoko Bw Christopher Mashingo (Kulia) akitoa taarifa kuhusu utaratibu mpya wa Utoaji Leseni za Biashara. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Nicodemus Mushi.

 • TANGA FUFUENI VIWANDA

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Dkt Abdallah Kigoda alipotembelea mkoa wa Tanga kuhamasisha shughuli za Viwanda na Biashara Mkoani humo

 • UCHUMI TANGA

  Uongozi wa Mkoa wa Tanga, Jumuia ya Wafanya Biashara na Wenye Viwanda Mkoa wa Tanga walipokutana na waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Abdallah Kigoda kuzungumzia namna ya kufufua shughuli za kiuchumi mkoani humo.

 • UCHUMI TANGA

  Uongozi wa Mkoa wa Tanga, Jumuia ya Wafanya Biashara na Wenye Viwanda Mkoa wa Tanga walipokutana na waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Abdallah Kigoda kuzungumzia namna ya kufufua shughuli za kiuchumi mkoani humo.

 • KM MPYA VB

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Jakaya Kikwete akikabidhi hati ya kiapo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Uledi Mussa.

 • DANGOTE

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo pinda akizindua rasmi ujenzi wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Mkoani Mtwara

 • LIGANGA NA MCHUCHUMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali wakati wa ziara yake kutembelea mgodi miradi ya Chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma

 • KIWANDA CHA VIUADUDU

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kiwanda cha Viuadudu cha Kibaha, mradi unaosimamiwa na Shirika la Maendeleo la NDC lililo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara

 • SEKTA YA NGOZI

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi Maria Bilia na Viongozi wengine wa Wizara wakitazama bidhaa za ngozi zilizotengenezwa na Wajasiriamali wa sekta ndogo ya ngozi.

 • SEKTA YA NGOZI

  Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Dkt Abdallah Kigoda wakikagua maonesho ya bidhaa za Ngozi.

 • KIAPO KATIBU MKUU

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Jakaya Kikwete akimuapisha Bw Uledi Mussa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara.

 • VIONGOZI WVB

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Dkt Abdallah Kigoda( Katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Uledi Mussa( Kulia) katika moja ya matukio ya Ki Taifa. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Wizarani Bw Boniface Michael

 • KARIBU DPS

  Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya viwanda na Biashara Bw Edward Sungula(Katikati) akimkabidhi ua na kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Bi Maria Bilia. Anayeshuhudia ni Katibu Mkuu anaeondoka Bi Joyce Mapunjo.

 • VIONGOZI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na na Makatibu Wakuu wapya wa Wizara mbali mbali. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na biashara Bw Uledi Mussa

 • ZIARA YA NAIBU WAZIRI KIWANDA CHA SARUJI.

  Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kiwanda cha saruji cha Lake kilichopo Kimbiji eneo la Kigamboni, Dar es salaam.

 • ZIARA YA NAIBU WAZIRI KIWANDA CHA SARUJI.

  Naibu Waziri, Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene akimsikiliza kwa makini mtaalam wa mitambo katika kiwanda cha saruji cha Lake.

 • ZIARA YA NAIBU WAZIRI KIWANDA CHA SARUJI.

  Mashine ya kuchimba malighafi inayotumika kutengenezea saruji katika kiwanda cha Lake.

 • NANE NANE 2014, Ngongo-LINDI

  Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa serikali katika maonyesho ya Nane nane 2014, Lindi.

 • NANE NANE 2014, Ngongo-LINDI

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara akiangalia nguo nzuri iliyotengezwa na wajasiliamali waliowezeshwa na SIDO.

 • NANE NANE 2014, Ngongo-LINDI

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia, akipokea zawadi mara tu alipotembelea banda la Wizara.

 • NANE NANE 2014, Ngongo-LINDI.

  Maafisa wa Wizara wakiwa tayari kuwahudumia wananchi watakaofika katika maonesho.

 • NANE NANE 2014, Ngongo-LINDI

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia, akizungumza na wajasiriamali waliondelezwa na SIDO kupitia mradi wa MUVI,

 • MKUTANO TUME YA USHINDANI (FCC)

  Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamoja na Maafisa kutoka Tume ya ushindani (FCC) na Wakurugenzi kutoka Wizara ya Viwanda, mara baada ya kufungua mkutano katika ukumbi wa Golden Tulip, DSM.

 • MKUTANO TUME YA USHINDANI (FCC)

  Mkuu wa Idara ya Elimu kwa mlaji na ukaguzi wa bidhaa bandia Bi. Magdalena Utoah, akitoa maelezo kwa wakurugenzi kutoka Wizara ya Viwanda juu ya Bidhaa bandia na bidhaa hafifu.

 • MIT SACCOSS YAANZISHWA

  Picha ya pamoja kati ya Viongozi wa muda wa MIT SACCOSS, Wataalamu waelekezi na Viongozi wa Wizara mara baada ya kujadili uanzishwaji wa SACCOSS hiyo.

 • MIT SACCOSS YAANZISHWA

  Mtaalamu mwelekezi katika masuala ya SACCOSS, Bw. Ladislaus E. Mwanansao Afisa Ushirika Manispaa ya Ilala, akizungumza jambo wakati wa mkutano, kushoto ni Bw. Athuman Kano Afisa ushirika manispaa ya Ilala.

 • WAAJIRIWA WAPYA

  Waajiriwa wapya zaidi ya 40 walioripoti Wizara ya Viwanda na Biashara wapatiwa mafunzo kutoka kila idara na kitengo kwa lengo la kuwajengea uwezo.

 • WAAJIRIWA WAPYA

  Afisa mtafiti kutoka idara ya maendeleo ya Viwanda Bi. Caroline Lymo, akielezea jinsi idara yake inavyofanya kazi.

 • MKUTANO KUHUSU UDHIBITI BIDHAA BANDIA NA HAFIFU.

  WADAU WAALIKWA KATIKA MKUTANO WA KUJADILI UDHIBITI WA BIDHAA BANDIA NA BIDHAA HAFIFU NCHINI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA.

 • MKUTANO KUHUSU UDHIBITI BIDHAA BANDIA NA HAFIFU.

  Wajumbe wa mkutano juu ya udhibiti bidhaa bandia na hafifu uliofanyika Wizara ya Viwanda na Biashara jijini DSM.

 • MKUTANO KUHUSU UDHIBITI BIDHAA BANDIA NA HAFIFU.

  Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda akielezea mikakati ya Serikali kupitia Wizara kwa kushirikiana na taasisi kama FCC,TBS,TFDA na Polisi katika kudhibiti bidhaa bandia.

 • MICHEZO SOKA

  Timu ya Soka ya Wizara ya Viwanda na Biashara inayofanya vizuri katika Michezo mbali mbali ya Watumishi wa Umma

 • MICHEZO MPIRA WA PETE

  Timu ya Mpira wa Pete ya Wizara ya Viwanda na Biashara inayofanya vizuri katika Michezo mbali mbali ya Watumishi wa Umma

 • UZINDUZI WA BODI (NDC)

  Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dkt. Abdallah Kigoda katika picha ya pamoja na bodi ya Shirika la Maendeleo ya Viwanda (NDC).

 • MAADHIMISHO YA MIAKA 50 CBE

  MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD AKISAINI KITABU CHA WAGENI,PEMBENI YAKE NI MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE)PROF.EMMANUEL MJEMA

 • MAADHIMISHO YA MIAKA 50 CBE

  MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA CBE KWA AJILI YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO HICHO.KUSHOTO KWA MAKAMU NI WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA,DK ABDALLAH KIGODA NA KULIA KWA MAKAMU NI MKUU WA CHUO CHA CBE,PROF.EMMANUEL MJEMA

 • MAADHIMISHO YA MIAKA 50 CBE

  MAKAMU WA PILI RAIS WA ZANZIBAR,BALOZI SEIF ALLY IDD AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA BI.ESTHER KIBUA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO HICHO.KULIA NI WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA,DK ABDALLAH KIGODA.

 • MAADHIMISHO YA MIAKA 50 CBE

  MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AKIPOKEA ZAWADI YA SAA KUTOKA KWA MWENYEKITI WA BODI WA CHUO CHA CBE,PROF.MATHEW LUHANGA.

Trade Sector

Multilateral Trade Programmes

- Ifahamu Sekta ya Biashara

- Trade Statistics

- Regional Integration Programmes

- Bilateral Programmes

- Mkakati wa kuuza mauzo nje

 

Read More..

Recent News

27.08.2014

TENDER FOR PROVISION OF INTERNET AND EMAIL SERVICES  

20.05.2014

Hotuba ya waziri wa Viwanda na biashara Mhe. Dkt. Abdallah o. Kigoda (mb.), Akiwasilisha bungeni Mak

15.05.2013

Hotuba ya Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah O. Kigoda (MB) akiwasilisha Bungeni makad

24.04.2013

Bei ya mazao ya chakula kwa gunia la kilo 100 kwa tarehe 24-04-2013

26.07.2012

HOTUBA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHESHIMIWA DKT.ABDALLAH O. KIGODA(MB), AKIWASILISHA BUNGENI

01.06.2012

Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na SIDO imeandaa na  kutoa mafunzo kwa wajasiriamali

22.08.2011

MWENENDEO WA BEI ZA JUMLA ZA MAZAO TANZANIA BARA KWA TAREHE 13/06/2012 MWENENDEO WA BEI ZA JUMLA

ARCHIVES

Events Calendar

January 2015
S M T W T F S
28 29 30 31 1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30 31

NEWSLETTER

Message from the PS

blockquote

This website is posted for the purposes of providing Stakeholders with the necessary information on role and functions of MIT. It covers the key sectors of Industry, Trade & Marketing.

To facilitate the development of sustainable industry and trade sectors through creation of enabling environment and provision of improved services.


 

By Permanent Secretary - MIT

Contacts

 

address

Address
Ministry of Industy & Trade 
NSSF Waterfront,1st Floor,
35 Edward Sokoine Road, 11469

Dar es Salaam

 
phone

Telephone:
+255-22-2127898/97

 
email

email:
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

hit counters