Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Hon. Charles John Mwijage

Wasifu

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mh. Charles J. Mwijage kuwa Waziri wa V... Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akimhoji mmoja wa Viongozi wa Kiwanda cha Bora juu ya hali aliyoikuta kwenye moja ya k... Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akimsik Katibu wa TUICO tawiiliza la Bora wakati alipokuwa akifikisha ujumbe wa wafany... Cement which are procuced in Dangote Industry Located at Mtwara Prof. Suzan Nchimbi Msolla - Kaimu Mkuu wa Koleji ya Kilimo akifungua mafunzo hayo kwa wajasiliamali na wafanyabiashara Mkoani Morogoro Picha ya pamoja ya ya washiriki wa mafunzo ya kaizen yaliyofanyika ukumbi wa SUA-MOROGORO Washiriki wa mafunzo ya kaizen wakisikiliza kwa makini mada zilizowasilishwa, mafunzo haya yalifanyika ukumbi wa SUA-MOROGORO. Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru, (Aliesimama) akizungumza na Uongozi wa Kiwanda cha Kuzalisha Viua dudu vya ku... . Hon. Charles John Mwijage and Hon.Nape Nauye Director for small and medium enterprises (SMEs) Dr. Consolata Ishebabi speaks with entrepreneurs from Mbeya, Arusha and Dar es salaam who are trained... Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Rais wa Vietnam, Truong Tang San wa (nne kulia),Mawaziri na viongozi wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji... Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Rais wa Vietnam, Truong Tang San wa (nne kulia),Mawaziri na viongozi wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji... Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bw. Sam Hoexter akisaini kitabu cha kumbukumbu katika ofisi ya Waziri mara baada ya kuwasili kwa mazungumzo pemben... Ziara ya Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang, Kutembelea Eneo Huru la Uwekezaji (EPZA) na kufika kiwanda cha kutengeneza Vocha za mitandao ya simu pa... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiangalia Baadhi ya Vocha za mitandao ya simu pamoja na kadi za benki na Vitambulisho c... Baadhi ya vocha za mitandao ya simu pamoja na kadi za benki na Vitambulisho Vinavyopatikana katika Kiwanda cha DZ Card (Africa) Ltd, kilichopo Eneo hu... Rais wa Viwetnam, Truong Tan Sang akisalimiana na Col. (Retd) Joseph Leon Simbakalia (Mkurugenzi Mkuu-EPZA) Mara baada ya kuwasili EPZA Ubungo, Extern... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataif... Rais wa Viwetnam, Truong Tan Sang akitoa hotuba yake katika ukumbi wa mikutano wa EPZA Ubungo, External. Picha ya Pamoja Baada ya Ziara ya Rais wa Viwetnam, Truong Tan Sang kutembelea Eneo huru la Uwekezaji EPZA Ubungo, External. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea nchini Tanzania Mhe.Song Geum-Young mara baada... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akutana na Balozi wa Korea nchini Tanzania Mhe.Song Geum-Young na kufanya mazungumzo wiza... Kampuni Oryx energies inayomiliki Kiwanda cha Vilainishi vya mitambo ya magari na Mashine cha Oryx Lubricant na Kiwanda cha Oryx Gas. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage Akizungumza na Menejimenti ya Kampuni Oryx energies inayomiliki Kiwanda cha Vilainishi v... Kiwanda cha Vilainishi vya mitambo ya magari na Mashine cha Oryx Lubricant kilichopo Chang'ombe jijini Dar es salaam. Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Mhe Charles Mwijage, afanya mazungumzo na ujumbe kutoka Jamuhuri ya watu wa Czech mazungumzo ambayo yalileng... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiwa na Naibu Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Czech (kushoto kwa waziri) alieambatana na... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uweezaji, Adolf Mkenda (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa pamoja wa uwe... Picha ya pamoja ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,(wa tatu kushoto), kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda Biashara na Uwek... Picha ya pamoja, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (wa tatu kulia) akiwa na Balozi wa Singapore Nchi Tanzania Mhe. Tan Puay... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru (wa pili kulia) akiwa ameshika ripoti ya “Industial Competitiveness Report,201... Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Mhe Charles Mwijage, akiwasilisha makadirio ya Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 Bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Mhe Charles Mwijage, akiwasilisha makadirio ya Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 Bungeni mjini Dodoma. UWASILISHWAJI WA HOTUBA YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 BUNGENI MJINI - DODOMA. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles J.P. Mwijage aongoza kikao kazi cha Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na Wakuu wa Vitengo kupitia... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiangalia kandambili zinazotengenezwa na kiwanda cha OK Plast Limited kilicho... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiangalia mikeka inayotengenezwa na kiwanda cha OK Plast Limited kilichopo en... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) alipo... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru (katikati) aliyeambatana na  Naibu Katibu Mkuu Mhandisi, Joseph Malongo (kus... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru aliyeambatana na Naibu Katibu Mkuu Mhandisi.Joseph Malongo, wakisalimiana na w... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Adelhelm Meru akiangalia “polypropylene”moja ya malighafi inayotumika kutengeneza mikeka katika kiwanda... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mradi wa ujenzi wa Mgodi wa... Baadhi ya ngozi zilizohifadhiwa katika maghala yaliyopo machinjio ya Vingunguti Jijini Dar es salaam. Maghala hayo yanayomilikiwa na chama cha wanunuz... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayesimamia Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akiangalia baadhi ya ngozi zilizohifadhiwa... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayesimamia Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akiangalia baadhi ya ngozi zilizohifadhiwa... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chama cha wafanyabiashara wenye viwanda n... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli akimkabidhi tuzo ya udhamini mkuu wa hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji (Mteule) wa Benk... Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Bw. Roberto Jarrin (wa nne mstari wa mbele kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa kampuni hiyo walio... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli, akizindua nembo mpya ya Tuzo za Rais kwa wazalishaji bora wa Viwanda, The President... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli, akizungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka sekta ya Viwanda nchini kabla ya k...  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli, akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini (CTI) Bw. Leo... Katibu Mkuu Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na kiongozi wa Biashara kutoka ALAF, Bw Chiradeep Guha (wa... Mhandisi manispaa ya Temeke Mhandisi. Benjamini Maziku akifananua jambo wakati wa ukaguzi wa barabara iendayo kiwanda cha kutengeneza mabati cha ALAF... Baadhi ya wajumbe wa Baraza la (ARSO) katika Mkutano Mkuu wa 22 wa umoja wa Mashirika ya Viwango Afrika unaofanyika jijini Arusha. Baadhi ya wajumbe wa Baraza la (ARSO) katika Mkutano Mkuu wa 22 wa umoja wa Mashirika ya Viwango Afrika unaofanyika jijini Arusha. Wajumbe wa Baraza la (ARSO) kutoka TANZANIA wanaoshiriki Mkutano Mkuu wa 22 wa umoja wa Mashirika ya Viwango Afrika unaofanyika jijini Arusha. Picha ya pamoja ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda pamoja na wajumbe wa Baraza la ARSO katika Mkutano Mkuu wa Mashirika ya Viwango Af... Mkuu wa Mkoa wa ARUSHA Mhe. Daudi Felix Ntibenda (Mwenye suti nyeusi) akisalimiana na Mhazini (Treasury) wa ARSO Bw. Katima Temba akishuhudiwa na Kati... Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya maandalishi na ufanikishaji wa mkutano wa Mashirika ya Viwango Afrika ARSO unaofanyika AICC - ARUSHA. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, katika picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya mkutano Mkuu Mkutano Mkuu wa siku ya... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa siku ya Viwango Afrika katika uku... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akisaini kitabu katika banda la Shirika la Viwango Tanzania (TBS) alipotembelea maonesh... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Nigeria katika Mkutano Mkuu wa siku ya Viwango... Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda akizungumza katika Mkutano Mkuu wa siku ya Viwango Afrika (ARSO) katika u... Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Viwanda Duniani Mr. Li Yong, akimpa zawadi ya picha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshug... Maafisa kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wakiwa tayari kuwahudumia watanzania katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Mwalimu... Picha ya pamoja ya Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kutembele... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuwasili k... Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya mitambo na malighafi katika kiwanda cha Nondo cha KILUWA STEEL... Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Mjaliwa akiangalia ramani ya kiwanda cha vigae cha Goodwill Tanzania Ceramic kilichopo kijiji cha Mkiu, Wilaya ya mkuranga... Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akipokea mfano wa hundi ya Sh.milioni 20 kutoka kwa balozi wa China nchini, Dk.Lu Youging, kwa ajili ya ununuzi wa... Katibu Mkuu Dkt. Adelhelm Meru akipokea rasimu ya Muundo mpya wa Shirika la Viwanda Vidogo (Sido) kutoka kwa Bw. Willfred Nyachia, Mwenyekiti wa Bodi... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya SIDO walipotembelea ofisi kwake mapema hivi leo, ku... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya SIDO walipotembelea ofisi kwake mapema hivi leo, ku... Ugeni wa wafanyabiashara na wawekezaji kutoka serikali ya poland ambao wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji,... Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Anayeshughulikia Viwanda Mhe. Dr. Adelhelm Meru akiwa katika picha ya pamoja na Bw. jacek jedru... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia S. Hassan akisaini kitabu cha wageni katika banda la Maonesho la Kituo cha Uwekezaji Tanz... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Gen. Mstaafu Mhe. Salum M. Kijuu,... WAZIRI VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI MHE. CHARLES MWIJAGE ATEMBELEA MAONESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA MKOANI KAGERA NA KUJIONEA SHUGHULI MBALIMBALI... WAZIRI VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI MHE. CHARLES MWIJAGE ATEMBELEA MAONESHO YA NANE NANE YANAYOENDELEA MKOANI KAGERA NA KUJIONEA SHUGHULI MBALIMBALI... Naibu Waziri Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akiangalia moja ya mashine ya kubangulia Korosho iliyobuniwa na wataalam wa Sido Mkoa wa... Wizara ya Viwanda na Biashara na Uwekezaji yashiriki kikamilifu maadhimisho ya Sikukuu ya wakulima (Nanenane) yanayoadhimishwa Kitaifa Viwanja vya Ngo... Mkurugenzi Mkaazi wa TradeMark East Afrika Ndugu. John Ulanga, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkakati wa urahisishaji biashara uliofanyika ukumbi w... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, azindua rasmi kamati ya kitaifa ya urahishaji biashara katika ukumbi wa New Afrika hot... Mkurugenzi Idara ya Biashara Ndugu. Ally Gugu akimkaribisha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe Charles Mwijage, kuzungumza na kamati ya Kit... Picha ya pamoja ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Biashara, Mhe. Charles Mwijage na kamati ya Kitaifa ya urahisishaji biashara. Mkutano umefanyika kat... Makamu wa Rais Mhe Samia  Suluhu akimkabidhi Kikombe Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Bishara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda baada ya chuo cha CBE kui... Menejimenti ya Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji yakutana na kamati ya Bunge Hesabu za Serikali( PAC)mapema hivi leo MKoani Dodoma  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizindua rasmi upanuzi wa kiwanda cha saruji Tanga (Tanga Cement Company Ltd.) upanuz... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akihutubia mara baada ya upanuzi wa kiwanda cha saruji Tanga (Tanga Cement Company Ltd.... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha saruji cha Tanga Bw. Lawrence Masha. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha saruji cha Tanga (Tanga Cement C... Baadhi ya wageni walioshiriki uzinduzi wa upanuzi wa kiwanda cha saruji cha Tanga. Mku wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Ndugu, Martin Shigella Akihutubia katika uzinduzi huo. Mkurugenzi mtendaji wa Kiwanda cha saruji cha Tanga Ndugu. Reinhardt Swart akihutubia wakati wa mkutano huo. Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha saruji cha Tanga Ndugu. Lawrence Masha akihutubia wakati wa mkutano huo.  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizungumza na Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Viwanda Ndugu Juma Mwambapa, wakati wa... Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akutana na Balozi wa Israel nchini Kenya Mhe. Yahel Vilan ofisini kwake mapema hivi leo.... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara ya Uwekezaji, Mhe. Dkt. Adelhelm Meru, akisalimiana na balozi wa Cuba nchini Mhe. Jorge Lopez Tormo kabla ya k... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage afanya ziara ya kutembelea na kuona uzalishaji katika kiwanda cha Milcom Dairies Limite... Ng'ombe wa Maziwa katika kiwanda cha Milkcom Dairies Limited (Dar fresh) Kilichopo Kibada Kigamboni. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, katika picha ya pamoja na uongozi wa Kiwanda cha Milkcom Dairies Limited (Dar fresh), Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo la Taifa... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo la... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusiana na wafanyabiashara was... Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ndugu Dr. Albina Chuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya sensa ya Viwanda uliofanyika uku... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Dr. Adelhelm Meru akizungumza kumkaribisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa ripoti ya sensa y... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akionesha ripoti ya sensa ya uzalishaji viwandani kwa mwaka 2013 katika ukumbi wa DCC... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akimkabidhi ripoti ya sensa ya Viwanda Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali w... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akionesha ripoti ya sensa ya uzalishaji viwandani kwa mwaka 2013 katika ukumbi wa DCC... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya uzalishaji Viwandani mara baada... Mwakilishi wa KAIZEN Tanzania Bw. Takao Kikuchi akielezea mikakati ya KAIZEN kwa wawakilishi wa masharika ya kiserikali na makampuni binafsi (hawapo p... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage pamoja na balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida, wakiwa katika picha ya... Mmoja kati ya washindi wa tuzo zilizotolewa na KAIZEN katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel-DSM. Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Tabora Bw. Nathalis Linuma akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya vikundi vya wazalishaji na wasindikaji... Washiriki wa mafunzo ya Vikundi vya Wazalishaji na Wasindikaji wa Asali wakimsikiliza mtoa mada (hayupo pichani) katika mafunzo yaliofanyika mkoani T... Washiriki wa mafunzo ya Vikundi vya wazalishaji na wasindikaji wa asali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungwa kwa mafunzo hayo Mkoani T... The permanent Secretary, Ministry of Industry, Trade and Investment Dr. Adelhelm Meru inaugurating the trade and economic representative office of Jia... The permanent Secretary, Ministry of Industry, Trade and Investment Dr. Adelhelm Meru inaugurating the trade and economic representative office of Jia... Kiwanda cha kutengeneza marumaru “Goodwill Ceramic” kilichopo kijiji cha Kisii Wilaya ya Mkuranga kikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi kabla kuan... Picha ya pamoja ya Katibu Mkuu Mhe. Dkt. Adelhelm Meru na wamiliki wa Kiwanda cha kutengeneza vifungashio cha Katibu Mkuu Mhe. Dkt. Adelhelm Meru akizindua rasmi kiwanda cha kutengeneza vifungashio cha Mkurugenzi Mkuu wa NDC akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha Katibu Mkuu Dkt. Adelhelm Meru akionesha zawadi aliyokabidhiwa na kiwanda cha Katibu Mkuu Dkt. Adelhelm Meru akiagana na Mkurugenzi wa kiwanda cha Kiwanda cha kutengeneza mavazi cha “Tanzania Took Garments Company Limited” kilichopo katika eneo huru la uwekezaji (EPZ) Ubungo External. KIPINDI CHA MAHOJIANO CHA TUNATEKELEZA TBC1 Mhe.Charles Mwijage akiwa kwenye moja ya maabara ya kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuua viluilui vya mbu waenezao Maralia alipotembelea kiwanda hich... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza na mmiliki wa kiwanda cha ‘Global Packaging’ kiwanda kinachotengeneza vifun... Kiwanda kipya cha kutengeneza juisi cha “ Sayona Fruits” kilichopo kijiji cha Mboga kata ya Msoga Mkoa wa Pwani kikiwa katika hatua za mwisho za uj... Picha ya pamoja ya Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uhamasishaji, Biashara na Masoko Ndugu. Leo Lyayuka na wakusanya taarifa za masoko ya matunda na Mbogambo... Wakusanya taarifa za masoko ya matunda na Mbogamboga wakimsikiliza Mchumi Mkuu wa Wizara ya Viwanda ndugu Genya Charles Genya wakati wa mafunzo ya wak... Picha ya pamoja ya Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin A. Ngonyani na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masuala ya Afrika... Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Ndugu Ally Gugu, akizungumza wakati wa Kongamano la Bia... Wajumbe wa Kongamano la Kibiashara kati ya Rwanda na Tanzania lilifanyika ukumbi wa EPZA, Ubungo External. Wajumbe wa Kongamano la Kibiashara kati ya Rwanda na Tanzania lilifanyika ukumbi wa EPZA, Ubungo External. Baadhi ya wadau wa Viwanda wakiwa tayari kumpokea mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya Viwanda vya Tanzania yanayofanyika katika viwanja vya Mwl... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiwa katika banda la Wizara yake na kujionea jinsi wataalamu wa wizara wanavyoshiriki k... Wajasiliamali wa bidhaa za ngozi kutoka Mkoa wa Mwanza katika maonesho ya Viwanda vya Tanzania. Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji mhe. Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akutana na kaimu mkurug... Katibu Mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji mhe. Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa w... Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji Mhe. Prof. Adolf Mkenda akikagua karakana ya ukaguzi wa m... Katibu mkuu Biashara na uwekezaji Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwa katika kiwanda cha kubangua korosho cha Amama kilichopo Tandahimba Mkoani Mtwara. Katibu Mkuu Dr. Adelhelm Meru, akipokea zawadi ya ushindi kutoka kwa mhasibu mkuu wa wizara ya Viwanda Bi. Rose Bandisa. Tuzo hii ni ya uwasilishwaji... Katibu Mkuu Dr. Adelhelm Meru, akipokea zawadi ya ushindi kutoka kwa mhasibu mkuu wa wizara ya Viwanda Bi. Rose Bandisa. Tuzo hii ni ya uwasilishwaji... Tuzo ya ushindi wa kwanza ya uwasilishwaji bora wa taarifa ya fedha kwa mwaka 2015 iliyopata wizara kutoka NBAA. Bi.Hilda Mwampeta Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Masoko (Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji) akizungumza na  Washiriki wa  Mafunzo ya Ukusa... Bwana Athuman A. Mahundu mmoja wa wakusanya bei za mazao kutoka halmashauri ya Kilombero mkoani Morogoro akipata taarifa ya bei za bidhaa mbalimbali... Bi. Hilda Mwampeta Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Masoko ,Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji (wa tatu kulia) akipata maelezo ya bei za matunda kat... Bw. Charles Genya Mratibu wa Mafunzo ,kutoka Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji akitoa mada kwa washiriki wa Mafunzo ya Wakusanya Taarifa za b... Washiriki wa Mafunzo ya Ukusanyaji Taarifa za Bei za Mazao Kilimo na Mazao Mengine kutoka Mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja. Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akimkabidhi Simu ya Mkononi mmoja wa Washiriki wa Mafunzo ya wakusanya taarifa... mafunzo ya ukusanyaji taarifa za kufanya tathimini ya utekelezaji wa Sera ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo Mkurugenzi wa Idara ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo Dkt. Consolata Ishebabi akifungua mafunzo ya ukusanyaji taarifa za kufanya tathimini ya utekel... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza katika kikao cha wadau kutoka mamlaka za udhibiti na utoaji leseni, kushoto... Wadau kutoka mamlaka za udhibiti na utoaji leseni nchini katika ukumbi wa kituo cha utafiti wa miwa na muhogo mjini Kibaha. Wadau kutoka mamlaka za udhibiti na utoaji leseni nchini katika ukumbi wa kituo cha utafiti wa miwa na muhogo mjini Kibaha Mratibu wa kamati ya maboresho ya mazingira ya biashara nchini ndugu, Baraka Aligaesha akizungumza na waandishi katika kikao cha Wadau kutoka mamlaka... Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa sekta binafsi Dkt. Reginald Mengi na kiongozi wa wafanyabiashara wa uturuki wakionesha hati ya makubaliano mara baada... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akiwa katika Kiwanda cha Vigae cha kampuni ya (TwyFord Tanzania Cereramics) pamoja na... Kaimu Afisa Uhamiaji Mfawidhi wa Kituo cha mpakani Tunduma/Nakonde, Bw. Tabaran Mzee (kulia), akiueleza ujumbe kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Wi... Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda (wa pili kulia), akitoa maelekezo namna ambavyo maofisa wa TRA Tanzania na... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof.Adolf Mkenda akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa... Picha ya pamoja ya Katibu Mkuu Mhe. Dkt. Adelhelm Meru (watatu kutoka kulia) na Rais wa shirika la maendeleo la kimataifa la Japani (JICA) Tomiyoshi K... Mkurugenzi wa Maendeleo ya jamii kutoka Wizara ya Afya, ndugu. Patrick akizungumza wakati wa semina ya kuhamia Dodoma kwa wafanyakazi, kulia kwake ni... Wafanyakazi wa wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wapewa semina kuhusu malengo na nia njema ya Serikali ya awamu ya Tano kuhamishia makao ya nch... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akipata maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Kiwanda cha kutengeneza viungo cha... Makamu wa Rais wa Kampuni ya Podravka Group kutoka nchini Croatia, ambayo ni kampuni mama ya Vegeta Tanzania,Bi.Olivia Jakupec akimkabidhi Waziri wa V... Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akifurahia jambo mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika kiwanda cha kutengeneza vigae... Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo alipote... Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akikata utepe mara baada ya kuweka jiwe la Msingi kiwanda cha kutengeneza Vigae (... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing mara baada ya kuweka jiwe la... kikao kazi cha kutathimini sera ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo ya mwaka 2003.Kikao hiki kimejumuisha wadau mbalimbali. Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhem Meru akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi katika mkutano uliofanyika mape... Katibu Mkuu Sekta ya Viwanda, Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru akifungua warsha ya siku moja ya tathmini ya Sera ya Maendele... Katibu Mkuu Sekta ya Viwanda, Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa warsha ya tathmini y... Katibu Mkuu Dkt. Adelhelm Meru akieleza shughuli ilizofanya Wizara kwa mwaka wa fedha unaoisha juni, 2017 kwa Kamati ya kudumu ya bunge ya Uchumi, Viw... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wizara na taasisi zilizo chini ya wizara mara baada... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage,(mwenye suti nyeusi), kushoto ni Mhe. Dkt), Philip Mpango Waziri wa fedha na Mipango, D... Mkutano wa wadau kutoka TPSF pamoja na wafanyabiasha wafanyika katika ukumbi wa Wizra ya fedha, Dodoma. Serikali yapokea changamoto kutoka sekta binafsi pamoja na kwa wafanyabiashara kwa ajili ya kuzifanyia kazi katika kujenga uchumi imara Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini D...

Hatimiliki © wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji 2017. Haki zote zimehifadhiwa.