Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. George Joseph Kakunda (Mb)

Wasifu

Mafunzo ya siku mbili ya Matumizi sahihi ya TEHAMA.


Imewekwa: 01st February, 2018

Naibu Katibu Mkuu Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweshaija afungua mafunzo ya siku mbili ya Matumizi sahihi ya TEHAMA. Watumishi wa Idara ya Masoko, Idara ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo pamoja na Idara ya Sera na Mipango wahudhuria mafunzo ya siku mbili ya Matumizi sahihi ya TEHAMA, Mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa Wizara ya Maliasiri na Utalii - UDOM. Mafunzo hayo yanahusu matumizi sahihi ya TEHAMA katika Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Naibu Katibu Mkuu amehimiza watumishi wa Wizara kuzingatia kanuni na sheria zilizowekwa katika matumizi sahihi ya mtandao ambapo watumishi wa umma wanapaswa kutumia mtandao wa Serikali katika kutekeleza majukumu ya kazi kwa manufaa ya Serikali na si vinginevyo.

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2019. Haki zote zimehifadhiwa.