Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. Innocent Lugha Bashungwa (Mp)

Wasifu

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa wa (pili kulia),akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara, wa (pili) kushoto Mhe.Joseph Kakunda aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, akifuatiwa na Naibu wa Waziri Mhe. Mhandisi Stella Manya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa,akizungumza na watumishi wa Wizara mara baada ya kutambulishwa. tarehe 12.06.2019 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa,akikabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Joseph Kakunda katika Ofisi za Wizara zilizopo mji wa Serikali Mtumba tarehe 12.06.2019 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa, akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza ofisi za Wizara zilizopo Mtumba. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa akizungumza na Watumishi (hawapo pichani) baada ya kutambulishwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa,akisalimiana na Dkt.Consolatha Ishebabi Mkurugenzi Idara ya Viwanda Vidogo na Biashara ndogo,  Wizara ya Viwanda na Biashara, mara baada ya kuripoti katika Ofisi za Wizara zilizopo mji wa Serikali Mtumb

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2019. Haki zote zimehifadhiwa.