Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. Prof Kitila Mkumbo (MP)

Wasifu

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Nafaka, Vinywaji na Maziwa (Kom Limited) Kahama mkoani Shinyanga


Imewekwa: 31st January, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara na Mawaziri wengine, pamoja na viongozi wengine wa mkoa wa Shinyanga akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Nafaka, Vinywaji na Maziwa (Kom Limited) Kahama mkoani Shinyanga leo tarehe 28 Januari 2021. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuanza kufanya kazi Mwezi Julai mwaka huu.

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2021. Haki zote zimehifadhiwa.