Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. Innocent Lugha Bashungwa (Mp)

Wasifu

Uwasilishwaji wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2018/2019


Imewekwa: 07th May, 2018

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage anatarajia kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bungeni Mjini Dodoma siku ya Tarehe 10 na 11 Mei, 2018. Hotuba ya Bajeti ya Wizara itakayowasilishwa ni ya Mwaka wa fedha wa 2018/2019 ambayo itaonesha nini Wizara imeafanya na nini Wizara imepanga kufanya katika mwaka ujao wa fedha.

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2019. Haki zote zimehifadhiwa.