Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. Prof Kitila Mkumbo (MP)

Wasifu

 Washiriki wa mafunzo ya kaizen wakisikiliza kwa makini mada zilizowasilishwa, mafunzo haya yalifanyika ukumbi wa SUA-MOROGORO. Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles J. Mwijage akihitimisha hoja zilizotolewa na wabunge baada ya kumaliza kujadili hotuba ya Rais. . . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Rais wa Vietnam, Truong Tang San wa (nne kulia),Mawaziri na viongozi wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji... Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage atembelea mradi wa Kurasini Ligostic Centre uliopo eneo la Kurasini Shimo la Udongo na ku... Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bw. Sam Hoexter akisaini kitabu cha kumbukumbu katika ofisi ya Waziri mara baada ya kuwasili kwa mazungumzo pemben... Ziara ya Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang, Kutembelea Eneo Huru la Uwekezaji (EPZA) na kufika kiwanda cha kutengeneza Vocha za mitandao ya simu pa... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiangalia Baadhi ya Vocha za mitandao ya simu pamoja na kadi za benki na Vitambulisho c... Baadhi ya vocha za mitandao ya simu pamoja na kadi za benki na Vitambulisho Vinavyopatikana katika Kiwanda cha DZ Card (Africa) Ltd, kilichopo Eneo hu... Rais wa Viwetnam, Truong Tan Sang akisalimiana na Col. (Retd) Joseph Leon Simbakalia (Mkurugenzi Mkuu-EPZA) Mara baada ya kuwasili EPZA Ubungo, Extern... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataif... Picha ya Pamoja Baada ya Ziara ya Rais wa Viwetnam, Truong Tan Sang kutembelea Eneo huru la Uwekezaji EPZA Ubungo, External. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea nchini Tanzania Mhe.Song Geum-Young mara baada... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akutana na Balozi wa Korea nchini Tanzania Mhe.Song Geum-Young na kufanya mazungumzo wiza... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage Akizungumza na Menejimenti ya Kampuni Oryx energies inayomiliki Kiwanda cha Vilainishi v... Kiwanda cha Vilainishi vya mitambo ya magari na Mashine cha Oryx Lubricant kilichopo Chang'ombe jijini Dar es salaam. Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Mhe Charles Mwijage, afanya mazungumzo na ujumbe kutoka Jamuhuri ya watu wa Czech mazungumzo ambayo yalileng... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiwa na Naibu Waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Czech (kushoto kwa waziri) alieambatana na... Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt.Adelhelm Meru akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) alipot... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru (katikati) aliyeambatana na  Naibu Katibu Mkuu Mhandisi, Joseph Malongo (kus... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru aliyeambatana na Naibu Katibu Mkuu Mhandisi.Joseph Malongo, wakisalimiana na w... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiangalia kandambili zinazotengenezwa na kiwanda cha OK Plast Limited kilicho... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiangalia mikeka inayotengenezwa na kiwanda cha OK Plast Limited kilichopo en... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Adelhelm Meru akiangalia “polypropylene”moja ya malighafi inayotumika kutengeneza mikeka katika kiwanda... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mradi wa ujenzi wa Mgodi wa... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayesimamia Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akiangalia baadhi ya ngozi zilizohifadhiwa... Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayesimamia Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akiangalia baadhi ya ngozi zilizohifadhiwa... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chama cha wafanyabiashara wenye viwanda n... Katibu Mkuu Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na kiongozi wa Biashara kutoka ALAF, Bw Chiradeep Guha (wa... Mhandisi manispaa ya Temeke Mhandisi. Benjamini Maziku akifananua jambo wakati wa ukaguzi wa barabara iendayo kiwanda cha kutengeneza mabati cha ALAF... Picha ya pamoja ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda pamoja na wajumbe wa Baraza la ARSO katika Mkutano Mkuu wa Mashirika ya Viwango Af... Mkuu wa Mkoa wa ARUSHA Mhe. Daudi Felix Ntibenda (Mwenye suti nyeusi) akisalimiana na Mhazini (Treasury) wa ARSO Bw. Katima Temba akishuhudiwa na Kati... Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Viwanda Duniani Mr. Li Yong, akimpa zawadi ya picha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshug... Katibu Mkuu Dkt. Adelhelm Meru akipokea rasimu ya Muundo mpya wa Shirika la Viwanda Vidogo (Sido) kutoka kwa Bw. Willfred Nyachia, Mwenyekiti wa Bodi... Naibu Waziri Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akiangalia moja ya mashine ya kubangulia Korosho iliyobuniwa na wataalam wa Sido Mkoa wa... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (wa tatu kushoto ) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Sh... Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (wa tatu kushoto ) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Sh... Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ndugu Dr. Albina Chuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya sensa ya Viwanda uliofanyika uku... Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Tabora Bw. Nathalis Linuma akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya vikundi vya wazalishaji na wasindikaji... Washiriki wa mafunzo ya Vikundi vya Wazalishaji na Wasindikaji wa Asali wakimsikiliza mtoa mada (hayupo pichani) katika mafunzo yaliofanyika mkoani T... Kiwanda cha kutengeneza marumaru “Goodwill Ceramic” kilichopo kijiji cha Kisii Wilaya ya Mkuranga kikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi kabla kuan... Picha ya pamoja ya Katibu Mkuu Mhe. Dkt. Adelhelm Meru na wamiliki wa Kiwanda cha kutengeneza vifungashio cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza na mmiliki wa kiwanda cha ‘Global Packaging’ kiwanda kinachotengeneza vifun... Mhe.Charles Mwijage akiwa kwenye moja ya maabara ya kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuua viluilui vya mbu waenezao Maralia alipotembelea kiwanda hich... Kiwanda kipya cha kutengeneza juisi cha “ Sayona Fruits” kilichopo kijiji cha Mboga kata ya Msoga Mkoa wa Pwani kikiwa katika hatua za mwisho za uj... Bi.Hilda Mwampeta Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Masoko (Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji) akizungumza na  Washiriki wa  Mafunzo ya Ukusa... Bi. Hilda Mwampeta Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Masoko ,Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji (wa tatu kulia) akipata maelezo ya bei za matunda kat... Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa sekta binafsi Dkt. Reginald Mengi na kiongozi wa wafanyabiashara wa uturuki wakionesha hati ya makubaliano mara baada... Mkurugenzi wa Maendeleo ya jamii kutoka Wizara ya Afya, ndugu. Patrick akizungumza wakati wa semina ya kuhamia Dodoma kwa wafanyakazi, kulia kwake ni... Makatibu wakuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Bajeti. Wafanyakazi wa kiwanda cha Mazava wakiendelea na kazi ya ushonaji wa nguo.

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2021. Haki zote zimehifadhiwa.