Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara

Habari

Dkt. Kijaji akutana na Mkurugenzi Mkuu wa cha A-Z. kilichopo Kisongo Jijini Arusha


Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha  A-Z  Bw.Kalpesh Shah na Meneja  wa Masoko wakiwanda hicho Bw.Slivester. Kazi

Kikao hicho kimefanyika  tarehe 25  Mei  2023 katika  ofisi ndogo za  Mhe Waziri zilizopo katika jengo la PSSSF jijini Dodoma. Aidha pamoja  na mambo mengine kikao hicho kilikuwa na lengo la kupokea taarifa za uzalishaji na uendeshaji wa kiwanda hicho kinachozalisha bidhaa za  nguo  kilichopo Kisongo jijini Arusha.