Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. Innocent Lugha Bashungwa (MP)

Wasifu

Katibu Mkuu afungua Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za (SADC).


Imewekwa: 21st April, 2020

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe afungua Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili vikwazo vya kiufundi uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2020. Haki zote zimehifadhiwa.