Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara

Hon. Innocent Lugha Bashungwa (MP)

Wasifu

Mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa habari/Mawasiliano/Uhusiano na TEHAMA wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara


Imewekwa: 02nd March, 2020

Kitengo cha habari wizara ya viwanda na biashara, kimeandaa mafunzo ya kujenga uwezo kwa taasisi zilizo chini ya wizara yanayoendeshwa na National Data Centre yenye lengo la kuendesha mkakati wa pamoja wa kutangaza shughuli za serikali ikiwa ni pamoja na kueleza, kutangaza mafanikio yote ya wizara kwa jamii kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Hatimiliki © wizara ya viwanda na biashara 2020. Haki zote zimehifadhiwa.