Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara

Habari

WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA WAFIKA SOKO LA KARIAKOO KUJIONEA ATHARI ZA AJARI YA MOTO


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo asubuhi ameambata na Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo kutembelea soko kuu la Kariakoo Dar es salaam liloungua kwa moto jana usiku na kujionea athari za moto na kutoa pole kwa waangaa na wananchi waliojitokeza katika maeneo ya soko hilo pia kutoa maelekezo mbalimbali ya Serikali. Leo Julai 11, 2021