Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara

Dira na Dhamira

 DIRA

“Kuwa na msingi shindani wa mazingira bora ya uwekezaji, viwanda na ukuaji wa biashara unaowezesha kukua kwa uchumi shirikishi na endelevu”.

DHAMIRA

Kujenga msingi shindani na endelevu wa viwanda wenye kuwezesha biashara ulimwenguni kwa kuzingatia faida za mahali tulipo kijiografia na rasilimali zilizopo nchini kupitia sera, mikakati na mipango kwa mageuzi shirikishi ya viwanda”.