MTANGAMANO WA BIASHARA

MTANGAMANO WA BIASHARA

Mtangamano wa Biashara  inasimamiwa na Idara  ya Mtangamano wa Biashara chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Idara hii inajukumu kuu la Kutambua na kukuza fursa za biashara katika ushirikiano wa kibiashara, baina ya nchi rafiki, kikanda na kimataifa    

Majukumu

Kuandaa, kufuatilia, kutathmini na  kurejea utekelezaji wa Sera, mikakati, mipango, programu, sheria na kanuni zinazohusu mtangamano wa biashara 
 

Kutambua na kukuza fursa za biashara katika ushirikiano wa kibiashara, baina ya nchi rafiki, kikanda na kimataifa

Kuandaa msimamo wa nchi katika majadiliano ya kibiashara baina ya nchi rafiki, kikanda na kimataifa kwa kushirikiana na wadau wengine

Kuratibu utekelezaji wa majukumu ya mikataba katika majadiliano ya kibiashara baina ya nchi rafiki, kikanda na kimataifa

Sera & Mikakati

Sera ya Biashara kwa Uchumi Shindani na Ukuaji wa Mauzo ya Nje

 • star
 • star
 • star
 • star
 • star
 • Sera ya Biashara kwa Uchumi Shindani na Ukuaji wa Mauzo ya Nje 2003

  Miradi / Programme

  Wasiliana Nasi

  • Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara
  • Mji wa Serikali, Mtumba, Mtaa wa Viwanda S.L.P 2996, 40478, Dodoma
  • +255-262 963117
  • +255-262 963470
  • barua@mit.go.tz