Program ya KAIZEN

Program ya KAIZEN

Wizara ya Viwanda na Biashara (MIT) ilianzisha Kitengo cha Kaizen Tanzania (TKU) kusambaza falsafa ya KAIZEN kote nchini.  Falsafa hiyo inalenga kutumia kwa ufanisi rasilimali zilizopo, pamoja na mbinu bunifu na jumuishi katika kupunguza gharama zisizo za lazima viwandani ili kuongeza tija na ubora kwenye mnyororo wa thamani.

Wasiliana Nasi

  • Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara
  • Mji wa Serikali, Mtumba, Mtaa wa Viwanda S.L.P 2996, 40478, Dodoma
  • +255-262 963117
  • +255-262 963470
  • barua@mit.go.tz