Kongano la ngozi

Kongano la ngozi

Wizara ya Viwanda na Biashara inaendeleza mradi wa kongano la Ngozi eneo la zuzu lililopo Mkoani Dodoma kwa kuweka miundombinu wezeshi. Kongano hilo ni kongano la mfano ambalo linaendelezwa na Wizara. Kongano hilo kwa sasa lipo katika hatua ya ujenzi na pindi litakapokamilika inatalajiwa kuwezesha watengezaji wa bidhaa za ngozi na mafuta kutumia eneo hilo.

Wasiliana Nasi

  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • P.O. BOX 2996, Dodoma Mji wa Serikali
  • +255-262 963117
  • +255-262 963470
  • barua@mit.go.tz