Tanzania ni mojawapo ya nchi wanachama wa SADC zinazofaidika na Mradi wa Trade Related Facility (TRF). Mradi huo unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya (European Union-EU) kupitia Sekreterieti ya SADC. Mradi huo unalenga kusaidia nchi wanachama wa SADC kutekeleza Itifaki ya Biashara ya Jumuiya hiyo (SADC Trade Protocol) na kuimarisha ushiriki wa nchi wanachama wa SADC katika biashara ya kikanda na kimataifa ili kul...
Mradi unalenga kusaidia nchi wanachama wa SADC kutekeleza Itifaki ya Biashara ya Jumuiya hiyo (SADC Trade Protocol)